Download.it
Programu
Michezo
Android
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Suomi
Dansk
Norsk bokmål
Română
中文
Tiếng Việt
badilisha kwa mara moja na hamisha mafaili mbalimbali kwa kutumia hiki kifaa
Leseni ya programu: Toleo la jaribio
Badilisha kwa urahisi miundo mingi ya faili kwa usahihi na haraka
Leseni ya programu: Bila malipo (GPL)
Program rahisi na bure kuitumia kwa uandishi wa miswada ya filamu, yaani script ambayo pia ni mbadala muafaka wa Final Draft
Leseni ya programu: Bila malipo
Programu ya bure inayoruhusu mtumiaji kubadilisha mafaili ya XPS Kwenda PDF kwa urahisi na haraka
Leseni ya programu: Toleo Kamili
Toleo la mwaka 2016 kutoka kwenye programu maarufu ya ofisi ya kampuni ya Microsoft ambayo ni maalumu kwa matumizi binafsi nyumbani au mashuleni
Programu maarufu ya uchakataji na uchapaji maneno inayofanya kazi kwenye vifaa vya aina na vinavyotumia mifumo endeshi mbalimbali ya kompyuta
Badilisha maonyesho yako ya PowerPoint kuwa video kwa urahisi na ubora wa ajabu
Programu ya kiofisi iliyosheheni nyenzo kadhaa zinazokuwezesha kuchapa maneno, kufanya shughuli za kimahesabu, kuandaa ripoti, mada na mambo mengine mbalimbali
Leseni ya programu: Bila malipo (matangazo)
Geuza faili zako za Excel kuwa VCard kwa urahisi mkubwa na matumizi bora ya kitaaluma na binafsi
Programu ya bure kutoka Microsoft inayoboresha utendaji wa programu ya kiofisi toleo mwaka 2007 na kutibu matatizo mbalimbali ya hapo kabla
Hubadilisha haraka hati za PDF kuwa hati za Neno zinazoweza kuhaririwa bila malipo
Tumia programu hii kuzibadilisha video zako na kuziweka kwenye fomati mbalimbali uzipendazo kutegemeana na kifaa unachotumia